changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mchambuzi karibu uchambue tenaSimba watachukua ubingwa mwaka huu..
Simba wanakocha mzuri, hivyo wasiwe na wasiwasi.
Yanga kocha wao mzuri ila mwepesi kulizika.
Tabia ya kulizika akiiacha atafanya vizuri zaidi, lakini akiendelea na tabia hii hataenda mbali, atakwama.