Yanga ya gazeti la Mwanaspoti, Kitenge na Priva inatisha sana

Yanga ya gazeti la Mwanaspoti, Kitenge na Priva inatisha sana

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa kipindi chao wakati mwanadada mrembo Tunu Hassan alikuwa anafanya kazi inayoridhisha

Anyway labda ni mambo ya vijana wa toan michicha nanihihi watoto wa kisasa maboss ya mjini yanawekena siri zileee anywayy

Basi sawa sasa ile Yanga ya Efm na ya Mwanaspoti jamni siyo tulioyoina Azam TV

Byeee
 
Ngoja waje, watakwambia jezi ya Simba ina makorokoro.
 
Back
Top Bottom