Yanga ya pira "pira gusa moja moja tuondoke" ya kocha Romuard Rakotondrabe inakuja Simba wajipange

Yanga ya pira "pira gusa moja moja tuondoke" ya kocha Romuard Rakotondrabe inakuja Simba wajipange

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
I salute you kinsmen.

Hatimaye sasa tumejua Romain Folz ametimuliwa na muda wowote kwanzia sasa tangazo litatolewa..

Ila kwa hapa viongozi wamecheza kama Pele Romuard Rakontondrabe ni kocha mwenye tactics kali sana

Kizuri zaidi soka lake ni kama la yanga, ana identity kama ya yanga

Tusikariri kwamba lazima Gamondi arudi au Hamdi au Ramovich hapana.

Kuna muda lazima usonge mbele bila kuangalia nyuma hata kidogo

Madagascar wana ligi dhaifu tu ila kupitia wachezaji hao hao chan akafanya vizuri sana .

Na hata kufuzu world cup nyie wenyewe mashahidi mnaona Madagascar wanachokifanya sasa!
Absolutely beautiful to watch.

Nawaonea huruma sana simba maana kuna international break huyu kocha akikaa na wachezaji muda huu

Hivyo mpaka kuja kushtuka yanga itakuwa ni zaidi ya moto wa kifuu! 🔥

Wito wangu kwa wanasimba
Kufukuza hiyo mbuzi isiyosoma yaani haina vyeti kabla hamjaanza kumlaumu mangungu.

Karibu sana mtaalamu
1759942211709.jpg


NB: tusianze kumlaumu mapema kwa yeye akicheza mechi mbili tatu maana wengi hatuna subira

Its Pancho
 
Hivi hizi timu za Tz makocha wao huwa wanawaokota wapi??
Yaani kuleta kocha baada ya mwezi akatimuliwa kwao ni kawaida
Hiyi ni kawaida huwezi acha ukiona anavurunda tu

Timu nyingi africa huwa wanafanya hayo hata ahly ahly ya Cairo hufanya sana tu tena waarabu ndio huwa hawanaga uvumilivu kabisa.
 
Yeah! Kwa CV yake ya kuwa kocha wa timu ya Taifa ambayo imecheza mpaka fainali ya CHAN! Si haba. Ana kitu. Mimi kama mimi namtakia kila la heri.
Mkuu safari hii naona umekubali mwenyewe

Hapo roho yako kwatu Folz kutimuliwa🤣

Pamoja sana comrade
 
Akili ya watanzania katikati ya utekaji na mauwaji kama mafioso wa mafia wanawaza mpira wa S n Y
 
I salute you kinsmen.

Hatimaye sasa tumejua Romain Folz ametimuliwa na muda wowote kwanzia sasa tangazo litatolewa..

Ila kwa hapa viongozi wamecheza kama Pele Romuard Rakontondrabe ni kocha mwenye tactics kali sana

Kizuri zaidi soka lake ni kama la yanga, ana identity kama ya yanga

Tusikariri kwamba lazima Gamondi arudi au Hamdi au Ramovich hapana.

Kuna muda lazima usonge mbele bila kuangalia nyuma hata kidogo

Madagascar wana ligi dhaifu tu ila kupitia wachezaji hao hao chan akafanya vizuri sana .

Na hata kufuzu world cup nyie wenyewe mashahidi mnaona Madagascar wanachokifanya sasa!
Absolutely beautiful to watch.

Nawaonea huruma sana simba maana kuna international break huyu kocha akikaa na wachezaji muda huu

Hivyo mpaka kuja kushtuka yanga itakuwa ni zaidi ya moto wa kifuu! 🔥

Wito wangu kwa wanasimba
Kufukuza hiyo mbuzi isiyosoma yaani haina vyeti kabla hamjaanza kumlaumu mangungu.

Karibu sana mtaalamu
View attachment 3485747

NB: tusianze kumlaumu mapema kwa yeye akicheza mechi mbili tatu maana wengi hatuna subira

Its Pancho
unalijua pira tatoo?
 
Useng.e mtupu umeandika we si ulikuwa unadai abdulhamid moalin arudishwe, kwahiyo huyo kocha wako akija Moalin ndo basi?
 
Yeah! Kwa CV yake ya kuwa kocha wa timu ya Taifa ambayo imecheza mpaka fainali ya CHAN! Si haba. Ana kitu. Mimi kama mimi namtakia kila la heri.
CHAN si ndo ilifanyika hapa Tanzania, kwa jinsi nisivyoielewa timu yetu ya Taifa, hata sikufatilia yale mashindano.

Je, uliitazama Madascar? Walikuwa na mpira mzuri?
 
CHAN si ndo ilifanyika hapa Tanzania, kwa jinsi nisivyoielewa timu yetu ya Taifa, hata sikufatilia yale mashindano.

Je, uliitazama Madascar? Walikuwa na mpira mzuri?
Ofcourse walikuwa wanacheza total football. Na ikumbukwe ndiyo walikuwa washindi wa pili. Yaani walifika mpaka fainali.
 
Mkuu, huyo kocha mpya wa Madagascar ana mpira mzuri.
Hawa makocha ya tournament huwa siwaamini sana
Yaani tournament ya wiki 3 utathimini coach Bora?
Ila Kwa ligi ya Madagascar ambayo ni dhaifu kulinganisha na ya TANZANIA, resources za wachezaji anaowatumia, nadhani Eng amewaza akimpa kikosi kipana labda anaweza ku show up.

Lakini binafsi Sina neno sana, tujipe muda tumtizame kwenye club level maana Kuna makocha wanakuwa vizuri national team kama Van Gal akiwa Netherlands alivokuja Manchester united alivurunda mno
 
Useng.e mtupu umeandika we si ulikuwa unadai abdulhamid moalin arudishwe, kwahiyo huyo kocha wako akija Moalin ndo basi?
Watu huwa hawajadili hivi mzee?

Ile ilikuwa ni hoja yangu wala sio yako wala kubadilisha huwezi

Uongozi umeamua kumfukuza folz sasa ulitakaje?
Halafu sikuwahi kusema mpira wa folz naukubali hata kidogo labda ulisoma vibaya tu. Nilisdma folz alihitaji kusaidiwa na moalim kuhusu kukijua kikosi chake maana hata first eleven hana alikuwa..

Acha chuki spread love not hate
 
Back
Top Bottom