Yanga ya pira "pira gusa moja moja tuondoke" ya kocha Romuard Rakotondrabe inakuja Simba wajipange

Yanga ya pira "pira gusa moja moja tuondoke" ya kocha Romuard Rakotondrabe inakuja Simba wajipange

CHAN si ndo ilifanyika hapa Tanzania, kwa jinsi nisivyoielewa timu yetu ya Taifa, hata sikufatilia yale mashindano.

Je, uliitazama Madascar? Walikuwa na mpira mzuri?
Yule kocha ni mashine

Ana resource ndogo ya wachezaji tu ila sisi Tanzania ndio tulikuwa na wachezaji wengi lakini bado tukashindwa kufanya kweli sababu ya kocha wetu bogus

Madagascar walikuwa na kocha mzuri ndio huyu mashine
 
Folz hapana mkuu, hongereni sana wadau kwa kupaza sauti.
Acha sasa tuone kocha Roro kazini binafsi ule mpira wake niliupenda sana ni soka letu kabisa lile

Akija yanga atakutana na wachezaji wazuri ambao hatopata shida kabisa na wanafundishika
 
Hawa makocha ya tournament huwa siwaamini sana
Yaani tournament ya wiki 3 utathimini coach Bora?
Ila Kwa ligi ya Madagascar ambayo ni dhaifu kulinganisha na ya TANZANIA, resources za wachezaji anaowatumia, nadhani Eng amewaza akimpa kikosi kipana labda anaweza ku show up.

Lakini binafsi Sina neno sana, tujipe muda tumtizame kwenye club level maana Kuna makocha wanakuwa vizuri national team kama Van Gal akiwa Netherlands alivokuja Manchester united alivurunda mno
Ni kweli mkuu, futbol haitabiriki. Huyu anaweza akaja na kitu kikali zaidi. Tujaribu kumpa muda, angeanza na hii timu toka hii october walau angeweza kuona mawili matatu ya kufix mapema.
 
Yule kocha ni mashine

Ana resource ndogo ya wachezaji tu ila sisi Tanzania ndio tulikuwa na wachezaji wengi lakini bado tukashindwa kufanya kweli sababu ya kocha wetu bogus

Madagascar walikuwa na kocha mzuri ndio huyu mashine
Safi sana, ngoja tuone. Ule mpira mgumu wa Yanga ndo tunaosubiria.
 
Acha 33290 tuone kocha Roro kazini binafsi ule mpira wake niliupenda sana ni soka letu kabisa lile

Akija yanga atakutana na wachezaji wazuri ambao hatopata shida kabisa na wanafundishika
Starz imenitoka moyoni, CHAN sikuitazama kabisa. Ila hadi walifika final basi jamaa timu aliisuka.
 
Watu huwa hawajadili hivi mzee?

Ile ilikuwa ni hoja yangu wala sio yako wala kubadilisha huwezi

Uongozi umeamua kumfukuza folz sasa ulitakaje?
Halafu sikuwahi kusema mpira wa folz naukubali hata kidogo labda ulisoma vibaya tu. Nilisdma folz alihitaji kusaidiwa na moalim kuhusu kukijua kikosi chake maana hata first eleven hana alikuwa..

Acha chuki spread love not hate
kwahiyo unahisi huyo kocha mpya hamuhitaji Moalin?
 
Starz imenitoka moyoni, CHAN sikuitazama kabisa. Ila hadi walifika final basi jamaa timu aliisuka.
Na bado kwenye makundi Madagascar walishika nafasi ya pili sisi wa kwanza na tuliwafunga

Ila mbele quality ikaamua wakaenda final mapema tu
 
Polepole namsikitikia huko aliko tayari vijama vineanza mada zo ya ma Mpira kuwasahaulisha kuhusu polepole dahhhh
 
Polepole namsikitikia huko aliko tayari vijama vineanza mada zo ya ma Mpira kuwasahaulisha kuhusu polepole dahhhh
 
I salute you kinsmen.

Hatimaye sasa tumejua Romain Folz ametimuliwa na muda wowote kwanzia sasa tangazo litatolewa..

Ila kwa hapa viongozi wamecheza kama Pele Romuard Rakontondrabe ni kocha mwenye tactics kali sana

Kizuri zaidi soka lake ni kama la yanga, ana identity kama ya yanga

Tusikariri kwamba lazima Gamondi arudi au Hamdi au Ramovich hapana.

Kuna muda lazima usonge mbele bila kuangalia nyuma hata kidogo

Madagascar wana ligi dhaifu tu ila kupitia wachezaji hao hao chan akafanya vizuri sana .

Na hata kufuzu world cup nyie wenyewe mashahidi mnaona Madagascar wanachokifanya sasa!
Absolutely beautiful to watch.

Nawaonea huruma sana simba maana kuna international break huyu kocha akikaa na wachezaji muda huu

Hivyo mpaka kuja kushtuka yanga itakuwa ni zaidi ya moto wa kifuu! 🔥

Wito wangu kwa wanasimba
Kufukuza hiyo mbuzi isiyosoma yaani haina vyeti kabla hamjaanza kumlaumu mangungu.

Karibu sana mtaalamu
View attachment 3485747

NB: tusianze kumlaumu mapema kwa yeye akicheza mechi mbili tatu maana wengi hatuna subira

Its Pancho
Ramovich wala usipoteze muda kumtaja, mule hakuna kocha
 
Back
Top Bottom