Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Hiyi ni kawaida huwezi acha ukiona anavurunda tuHivi hizi timu za Tz makocha wao huwa wanawaokota wapi??
Yaani kuleta kocha baada ya mwezi akatimuliwa kwao ni kawaida
Mkuu safari hii naona umekubali mwenyeweYeah! Kwa CV yake ya kuwa kocha wa timu ya Taifa ambayo imecheza mpaka fainali ya CHAN! Si haba. Ana kitu. Mimi kama mimi namtakia kila la heri.
unalijua pira tatoo?I salute you kinsmen.
Hatimaye sasa tumejua Romain Folz ametimuliwa na muda wowote kwanzia sasa tangazo litatolewa..
Ila kwa hapa viongozi wamecheza kama Pele Romuard Rakontondrabe ni kocha mwenye tactics kali sana
Kizuri zaidi soka lake ni kama la yanga, ana identity kama ya yanga
Tusikariri kwamba lazima Gamondi arudi au Hamdi au Ramovich hapana.
Kuna muda lazima usonge mbele bila kuangalia nyuma hata kidogo
Madagascar wana ligi dhaifu tu ila kupitia wachezaji hao hao chan akafanya vizuri sana .
Na hata kufuzu world cup nyie wenyewe mashahidi mnaona Madagascar wanachokifanya sasa!
Absolutely beautiful to watch.
Nawaonea huruma sana simba maana kuna international break huyu kocha akikaa na wachezaji muda huu
Hivyo mpaka kuja kushtuka yanga itakuwa ni zaidi ya moto wa kifuu! 🔥
Wito wangu kwa wanasimba
Kufukuza hiyo mbuzi isiyosoma yaani haina vyeti kabla hamjaanza kumlaumu mangungu.
Karibu sana mtaalamu
View attachment 3485747
NB: tusianze kumlaumu mapema kwa yeye akicheza mechi mbili tatu maana wengi hatuna subira
Its Pancho
Yaani unafundishwa na mwalimu aliyefeli? Unafaulu vipi?unalijua pira tatoo?
hujawahi kuona watu wanayanyua kwapa na hawajawahi ata kua kocha mkuuYaani unafundishwa na mwalimu aliyefeli? Unafaulu vipi?
CHAN si ndo ilifanyika hapa Tanzania, kwa jinsi nisivyoielewa timu yetu ya Taifa, hata sikufatilia yale mashindano.Yeah! Kwa CV yake ya kuwa kocha wa timu ya Taifa ambayo imecheza mpaka fainali ya CHAN! Si haba. Ana kitu. Mimi kama mimi namtakia kila la heri.
Folz hapana mkuu, hongereni sana wadau kwa kupaza sauti.Mkuu safari hii naona umekubali mwenyewe
Hapo roho yako kwatu Folz kutimuliwa🤣
Pamoja sana comrade
Mkuu, huyo kocha mpya wa Madagascar ana mpira mzuri.Nadhani Sasa utaniheshimu nikiwambia Folz sio coach na ninavyomjua Eng Hersi Said hawezi kumvumilia
Msamehe mkuuUseng.e mtupu umeandika we si ulikuwa unadai abdulhamid moalin arudishwe, kwahiyo huyo kocha wako akija Moalin ndo basi?
Ofcourse walikuwa wanacheza total football. Na ikumbukwe ndiyo walikuwa washindi wa pili. Yaani walifika mpaka fainali.CHAN si ndo ilifanyika hapa Tanzania, kwa jinsi nisivyoielewa timu yetu ya Taifa, hata sikufatilia yale mashindano.
Je, uliitazama Madascar? Walikuwa na mpira mzuri?
Hawa makocha ya tournament huwa siwaamini sanaMkuu, huyo kocha mpya wa Madagascar ana mpira mzuri.
Watu huwa hawajadili hivi mzee?Useng.e mtupu umeandika we si ulikuwa unadai abdulhamid moalin arudishwe, kwahiyo huyo kocha wako akija Moalin ndo basi?