Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
- Thread starter
-
- #21
Yule kocha ni mashineCHAN si ndo ilifanyika hapa Tanzania, kwa jinsi nisivyoielewa timu yetu ya Taifa, hata sikufatilia yale mashindano.
Je, uliitazama Madascar? Walikuwa na mpira mzuri?
Acha sasa tuone kocha Roro kazini binafsi ule mpira wake niliupenda sana ni soka letu kabisa lileFolz hapana mkuu, hongereni sana wadau kwa kupaza sauti.
Safi sana, naona umri ana 60. Huyu atatufaa mkuu.Ofcourse walikuwa wanacheza total football. Na ikumbukwe ndiyo walikuwa washindi wa pili. Yaani walifika mpaka fainali.
Ni kweli mkuu, futbol haitabiriki. Huyu anaweza akaja na kitu kikali zaidi. Tujaribu kumpa muda, angeanza na hii timu toka hii october walau angeweza kuona mawili matatu ya kufix mapema.Hawa makocha ya tournament huwa siwaamini sana
Yaani tournament ya wiki 3 utathimini coach Bora?
Ila Kwa ligi ya Madagascar ambayo ni dhaifu kulinganisha na ya TANZANIA, resources za wachezaji anaowatumia, nadhani Eng amewaza akimpa kikosi kipana labda anaweza ku show up.
Lakini binafsi Sina neno sana, tujipe muda tumtizame kwenye club level maana Kuna makocha wanakuwa vizuri national team kama Van Gal akiwa Netherlands alivokuja Manchester united alivurunda mno
Safi sana, ngoja tuone. Ule mpira mgumu wa Yanga ndo tunaosubiria.Yule kocha ni mashine
Ana resource ndogo ya wachezaji tu ila sisi Tanzania ndio tulikuwa na wachezaji wengi lakini bado tukashindwa kufanya kweli sababu ya kocha wetu bogus
Madagascar walikuwa na kocha mzuri ndio huyu mashine
Starz imenitoka moyoni, CHAN sikuitazama kabisa. Ila hadi walifika final basi jamaa timu aliisuka.Acha 33290 tuone kocha Roro kazini binafsi ule mpira wake niliupenda sana ni soka letu kabisa lile
Akija yanga atakutana na wachezaji wazuri ambao hatopata shida kabisa na wanafundishika
kwahiyo unahisi huyo kocha mpya hamuhitaji Moalin?Watu huwa hawajadili hivi mzee?
Ile ilikuwa ni hoja yangu wala sio yako wala kubadilisha huwezi
Uongozi umeamua kumfukuza folz sasa ulitakaje?
Halafu sikuwahi kusema mpira wa folz naukubali hata kidogo labda ulisoma vibaya tu. Nilisdma folz alihitaji kusaidiwa na moalim kuhusu kukijua kikosi chake maana hata first eleven hana alikuwa..
Acha chuki spread love not hate
Na bado kwenye makundi Madagascar walishika nafasi ya pili sisi wa kwanza na tuliwafungaStarz imenitoka moyoni, CHAN sikuitazama kabisa. Ila hadi walifika final basi jamaa timu aliisuka.
Itategemea na u sharp wa kocha mwenyewekwahiyo unahisi huyo kocha mpya hamuhitaji Moalin?
Ramovich wala usipoteze muda kumtaja, mule hakuna kochaI salute you kinsmen.
Hatimaye sasa tumejua Romain Folz ametimuliwa na muda wowote kwanzia sasa tangazo litatolewa..
Ila kwa hapa viongozi wamecheza kama Pele Romuard Rakontondrabe ni kocha mwenye tactics kali sana
Kizuri zaidi soka lake ni kama la yanga, ana identity kama ya yanga
Tusikariri kwamba lazima Gamondi arudi au Hamdi au Ramovich hapana.
Kuna muda lazima usonge mbele bila kuangalia nyuma hata kidogo
Madagascar wana ligi dhaifu tu ila kupitia wachezaji hao hao chan akafanya vizuri sana .
Na hata kufuzu world cup nyie wenyewe mashahidi mnaona Madagascar wanachokifanya sasa!
Absolutely beautiful to watch.
Nawaonea huruma sana simba maana kuna international break huyu kocha akikaa na wachezaji muda huu
Hivyo mpaka kuja kushtuka yanga itakuwa ni zaidi ya moto wa kifuu! 🔥
Wito wangu kwa wanasimba
Kufukuza hiyo mbuzi isiyosoma yaani haina vyeti kabla hamjaanza kumlaumu mangungu.
Karibu sana mtaalamu
View attachment 3485747
NB: tusianze kumlaumu mapema kwa yeye akicheza mechi mbili tatu maana wengi hatuna subira
Its Pancho