kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kama timu itapoteza mechi yake dhidi ya Yanga ya sasa ijue kuwa sio uzembe wa kocha, wachezaji Wala viongozi, imefungwa na timu Bora nchini kwa msimu huu wa 21/22. Hivyo ni kosa kuwa kuchukuwa maamuzi dhidi ya kocha, mchezaji au kiongozi wa timu.
Yanga Sasa isingetoka haraka vile kwenye ligi ya champions. Wachezaji wote wa Yanga kama wakihamia timu yoyote nchini watapata namba kikosi Cha kwanxa kwenye timu hizo.
Nimewasikia mashabiki wa Azam wakilia na timu Yao eti baada ya kufungwa na Yanga, wanafanya makosa makubwa. Azam kufungwa goli moja tu na pyramids ni kuonyesha kuwa Azam Iko vizuri ila Yanga Iko vizuri zaidi hasa baada ya kuukosa ubingwa kwa misimu 4 mfululizo.
Sema tu Azam inakosea sana kuwafungia baadhi ya wachezaji wake ambao huenda wangeisadia timu. Waache kulazimisha mambo, wachezaji Wana haki zao.