Yanga ya sasa sio kipimo kizuri cha kumfukuza kocha wenu

Yanga ya sasa sio kipimo kizuri cha kumfukuza kocha wenu

Timu alizocheza na UTO.
Kagera sugar P8
Azam P4
Geita g P2
KMC P2 yan timu zote alizocheza nazo ni vilaza tupu kwa msimu huu isipokuwa Kagera ambao kwenye ile mechi walionewa tu na mwamuzi.

Michezo ya SIMBA SC.
Dodoma jiji P10
Polisi P9.
Biashara P5.

UTO NI TAKATAKA KAMA TAKATAKA NYINGINE ULE NI MOTO WA MABUA TU.
Humuwezi coastal bro utamuweza Yanga?
 
Kibonde cha kwanza ni simba mbona unaitoa au dishi limeyumba kidogo! Takataka ya kwanza ni simba iliyopigiwa mpira mkubwa ikapoteana ikaingiza washambuliaji wao wote 3 na awakuambulia ata goli la offside, na wakapewa kichapo mujarabu, sasa sijui umesahau au unajitoa ufahamu?
Kaka Simba ni kibonde hasa, hata wenyewe wameanza kulielewa SoMo.
 
Back
Top Bottom