Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Klabu ya Yanga SC imeachana na mchezaji raia wa Congo DR, Tuisila Kisinda ikiwa ni baada ya mkataba wake kuisha ndani ya klabu hiyo.
Taarifa ya Yanga imesema "Tunamshukuru Kisinda kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC".