Yanga yaachana na Winga Tusila Kisinda

Yanga yaachana na Winga Tusila Kisinda

Walisema amerudi kumkimbiza zimbwe ila cha ajabu alikuja kuzurura tu na leo anaondoka.

Sema nimejisikia vibaya sana maana kakaake zuwena alikuwa akipangwa first 11 nafurahi sana maana alikuwa anapunguza idadi ya wachezaji uwanjani.
Ana medal 4 zimbwe ana medal 0
 
===

Klabu ya Yanga SC imeachana na mchezaji raia wa Congo DR, Tuisila Kisinda ikiwa ni baada ya mkataba wake kuisha ndani ya klabu hiyo.

Taarifa ya Yanga imesema "Tunamshukuru Kisinda kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC".
Waarabu sijui walimfanya nn karudi hovyo
 
Back
Top Bottom