Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeacha mkuuMkuu unabishana na mtu asiyetaka kujua, unapoteza muda wako
Umenikumbusha mkuu "Tumuombe apumzike kwa Amani"[emoji120] [emoji120] [emoji120]Kama maza yako
Usimpangie mtu cha kuposti kwa nini wewe usilete huo uchambuzi kama unajua kwani bandle ni la kwako? Kwani hiyo habari siyo ya kimichezo? Tangia msindiliwe akili zenu haziko sawaHawa waandishi uchwara taabu sana, hiyo nayo umeona Habari ya kutuletea hapa, hiyo ni Timu ya mpira lete Habari za uchambuzi kuhusu mechi yao iliyopita, nini kimechangia mafanikio au mapungufu gani yalisababisha, lakini pia linganisha na wenzao kwa nini wamepata mafanikio dhidi ya yanga, na je nini kifanyike ili Timu zetu zifanikiwe zaidi, upuuzi wa kuachwa na ndege unafaida gani kwa hiyo Timu ya mpira? ? Acheni uandishi wa umbea umbea na MATUKIO, hovyo kabisa !!
Pita kushoto, huko utakongwa na treni ya umemeUsimpangie mtu cha kuposti kwa nini wewe usilete huo uchambuzi kama unajua kwani bandle ni la kwako? Kwani hiyo habari siyo ya kimichezo? Tangia msindiliwe akili zenu haziko sawa
Yanga imepata pigo lingine nchini Algeria baada ya wachezaji wake kuchelewa ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene, jijini Algers.
Wachezaji hao walikuwa wasafiri na ndege ya Uturuki kupitia Istanbul wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwassa walichelewa kufika uwanjani hapo.
Wakati benchi la ufundi na wachezaji wachecha wakiondoka leo, wachezaji waliochwa na ndege wanategemea kuondoka Algeria kesho au keshokutwa. Yanga imeondolewa katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-0 na MC Algers katika mchezo wa marudiano uliofanyika nchini Algeria
Ww kweli akili zako matope anzisha uzi wako ndio ulete uchambuzi usimfosi mtu kuposti kitu ambacho yeye hana uundani wake kwani ww hujui yanga kafungwa kwa sababu ya uumbea wake kwa kutokwa na mapovu?Pita kushoto, huko utakongwa na treni ya umeme
Aaah, uwezo mdogo huu wa kupambanua mambo ya kitaaluma, napoteza muda tu hapaWw kweli akili zako matope anzisha uzi wako ndio ulete uchambuzi usimfosi mtu kuposti kitu ambacho yeye hana uundani wake kwani ww hujui yanga kafungwa kwa sababu ya uumbea wake kwa kutokwa na mapovu?
Kojoa kalale povu la nini mkuuAaah, uwezo mdogo huu wa kupambanua mambo ya kitaaluma, napoteza muda tu hapa
Mkojo upi sasa?Kojoa kalale povu la nini mkuu
Walitembea kwa mguu kutoka hotelini walikofikia hadi uwanja wa ndege. Kanga ya kuazima kweli haisitiri chura!!ukichimama nchumari ukikaa nchumari😀😀😀
We jamaa ni pimbi, sasa kama habari Haina maana kwako umekomaa Nini kwenye hii post??Umeshasema hili ni jukwaa huru, uhuru huo ndiyo ulioleta hoja yangu kuwa Habari haina mashiko, usinilazimishe kuamini kuwa hii ni Habari muhimu kwangu, kaa na mawazo yako sihitaji ku kubadili na usinibadili msimamo pia.
Pili, mimi si muumini wa Siasa na sihitaji maelezo yoyote pia juu ya eneo hilo.
Tatu, kuanzia leo tambua kuwa hata muda wa kusoma na kujibu upuuzi ni rasilimali inayopotea.
Jipange.
Mkuu unabishana na kangamoko mtakesha!Una ukike mwingi tulia !!