Yanga yaachwa na ndege Algeria

Yanga yaachwa na ndege Algeria

Jangwani kumekuwa kimyaaa ha ha ha wapi hadji manara uje useme neno hapa....
 
Hawa waandishi uchwara taabu sana, hiyo nayo umeona Habari ya kutuletea hapa, hiyo ni Timu ya mpira lete Habari za uchambuzi kuhusu mechi yao iliyopita, nini kimechangia mafanikio au mapungufu gani yalisababisha, lakini pia linganisha na wenzao kwa nini wamepata mafanikio dhidi ya yanga, na je nini kifanyike ili Timu zetu zifanikiwe zaidi, upuuzi wa kuachwa na ndege unafaida gani kwa hiyo Timu ya mpira? ? Acheni uandishi wa umbea umbea na MATUKIO, hovyo kabisa !!
Usimpangie mtu cha kuposti kwa nini wewe usilete huo uchambuzi kama unajua kwani bandle ni la kwako? Kwani hiyo habari siyo ya kimichezo? Tangia msindiliwe akili zenu haziko sawa
 
Usimpangie mtu cha kuposti kwa nini wewe usilete huo uchambuzi kama unajua kwani bandle ni la kwako? Kwani hiyo habari siyo ya kimichezo? Tangia msindiliwe akili zenu haziko sawa
Pita kushoto, huko utakongwa na treni ya umeme
 
Yanga imepata pigo lingine nchini Algeria baada ya wachezaji wake kuchelewa ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene, jijini Algers.
Wachezaji hao walikuwa wasafiri na ndege ya Uturuki kupitia Istanbul wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwassa walichelewa kufika uwanjani hapo.
Wakati benchi la ufundi na wachezaji wachecha wakiondoka leo, wachezaji waliochwa na ndege wanategemea kuondoka Algeria kesho au keshokutwa. Yanga imeondolewa katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-0 na MC Algers katika mchezo wa marudiano uliofanyika nchini Algeria


ukichimama nchumari ukikaa nchumari😀😀😀
 
Pita kushoto, huko utakongwa na treni ya umeme
Ww kweli akili zako matope anzisha uzi wako ndio ulete uchambuzi usimfosi mtu kuposti kitu ambacho yeye hana uundani wake kwani ww hujui yanga kafungwa kwa sababu ya uumbea wake kwa kutokwa na mapovu?
 
Ww kweli akili zako matope anzisha uzi wako ndio ulete uchambuzi usimfosi mtu kuposti kitu ambacho yeye hana uundani wake kwani ww hujui yanga kafungwa kwa sababu ya uumbea wake kwa kutokwa na mapovu?
Aaah, uwezo mdogo huu wa kupambanua mambo ya kitaaluma, napoteza muda tu hapa
 
Taarifa.

Boniface mkwasa,. Amethibitisha kua club ya yanga inaomba msaada Kwa MC Alger ili iwasaidie sehem ya kulala, kula na usafiri.... Kwa siku NNE huku wachezaji wakirudi Kwa mafungu Tanzania. Wengine watapitia uturuki,wengine Dubai.

Yanga Kwa sasa inakumbwa na tatizo LA kiuchumi Kwa sasa.

Sports extra. By katibu mkuu WA yanga.
 
Umeshasema hili ni jukwaa huru, uhuru huo ndiyo ulioleta hoja yangu kuwa Habari haina mashiko, usinilazimishe kuamini kuwa hii ni Habari muhimu kwangu, kaa na mawazo yako sihitaji ku kubadili na usinibadili msimamo pia.

Pili, mimi si muumini wa Siasa na sihitaji maelezo yoyote pia juu ya eneo hilo.

Tatu, kuanzia leo tambua kuwa hata muda wa kusoma na kujibu upuuzi ni rasilimali inayopotea.

Jipange.
We jamaa ni pimbi, sasa kama habari Haina maana kwako umekomaa Nini kwenye hii post??

Si upite kushoto uende kazini kwako??

Una hasira kweli, au wewe naye mmoja WA wamiliki WA mtandao usiokuwa na kasi yoyote uitwao VYURATEL, japo una 4g??
 
Una ukike mwingi tulia !!
Mkuu unabishana na kangamoko mtakesha!

1c63e8b0e643501770457ccaf983e0a9.jpg
 
Back
Top Bottom