Yanga yaalikwa kushiriki michuano ya CECAFA Rwanda

Yanga yaalikwa kushiriki michuano ya CECAFA Rwanda

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Shirikisho la soka Africa Mashariki ( CECAFA ) limeiarika klabu ya Yanga katika michano ya Kagame CUP itakayofanyika Rwanda ili ipate maandalizi ya kushiriki vizuri michuano ya klabu bingwa Africa.
Azam itashiriki Kama bingwa mtetezi Huku Simba ikishiriki Kama bingwa was Tanzania
Timu zingine zilizoalikwa Ni AS Vita DR Congo na Zesco ya Zambia
61768004_1318363161644767_7528058581522841600_n.jpeg
 
Mbona hajawaalika na KMC! huyu Musonye anafikiri tutaogopa kushiriki au tutaenda kama ma underdog! Ngoja akaushudie "mziki" wa Yanga mpya! Nguvu moya!
Yanga nayo ni nguvu moya! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Au zahera kasema Hilo jina tumependelewa na TFF anataka na Yanga watumie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila mi napenda Simba wasilalize nafasi za usajiri wa kimataifa ili kutumia michuano iyo kuangalia wa kusajiri
Usajili wa klabu bingwa Africa mwisho Ni June 30 na Cecafa inaanza July mwanzoni maana yake ukimsajili nyota alieng'aa CECAFA huwezi mtumia kwenye michuano ya kimataifa
 
Sijuwi kama hatakataa huo mwaliko , hela yakupanda ndege na kukaa hoteli n.k watapata wapi , najaribu kuwaza tu kwa sauti
 
Back
Top Bottom