redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Tangu michuano ii ianzishwe Simba hajawahi kutwaa kombe ili la Kagame nje ya Tanzania, Ina maanisha Simba ni timu ya kawaida sana inayoshiriki Kagame Cup ikiwa nje ya mipaka ya Tanzani . Yanga hawezi ihofia Simba ambayo ikiwa ugenini inafikia kufungwa mbaka goli tano katika mechi moja.Sitoshangaa Yanga wakikataa mwaliko kwa kuwa Simba yupo huko lazima watatafuta pa kutokea