Yanga yaalikwa kushiriki michuano ya CECAFA Rwanda

Yanga yaalikwa kushiriki michuano ya CECAFA Rwanda

Sitoshangaa Yanga wakikataa mwaliko kwa kuwa Simba yupo huko lazima watatafuta pa kutokea
Tangu michuano ii ianzishwe Simba hajawahi kutwaa kombe ili la Kagame nje ya Tanzania, Ina maanisha Simba ni timu ya kawaida sana inayoshiriki Kagame Cup ikiwa nje ya mipaka ya Tanzani . Yanga hawezi ihofia Simba ambayo ikiwa ugenini inafikia kufungwa mbaka goli tano katika mechi moja.
 
Duh! Mialiko miwili kwa siku moja, yanga oyeee! Ni mwendo wa kualikwa tu na sio kufuzu
 
Watakuwa wajinga Ni platform nzuri ya kutengeneza timu ikizingatia wanasajili timu mpya kabisa
Sio plan ya kocha, yani uialike timu kwa kushtukiza ili, wachezaji wengi wameachwa, pia ndo kwanza wanaanza kusajili na wengine wako likizo nani atawasimamia, zahera hayupo, na mwandila yuko kwao zambia likizo
 
Shirikisho la soka Africa Mashariki ( CECAFA ) limeiarika klabu ya Yanga katika michano ya Kagame CUP itakayofanyika Rwanda ili ipate maandalizi ya kushiriki vizuri michuano ya klabu bingwa Africa.
Azam itashiriki Kama bingwa mtetezi Huku Simba ikishiriki Kama bingwa was Tanzania
Timu zingine zilizoalikwa Ni AS Vita DR Congo na Zesco ya ZambiaView attachment 1117756
Yanga ni full kubebwa.
 
Back
Top Bottom