Yanga yaalikwa kushiriki michuano ya CECAFA Rwanda

Shirikisho la soka Africa Mashariki ( CECAFA ) limeiarika klabu ya Yanga katika michano ya Kagame CUP itakayofanyika Rwanda ili ipate maandalizi ya kushiriki vizuri michuano ya klabu bingwa Africa.
Azam itashiriki Kama bingwa mtetezi Huku Simba ikishiriki Kama bingwa was Tanzania
Timu zingine zilizoalikwa Ni AS Vita DR Congo na Zesco ya ZambiaView attachment 1117756
Huku tena chura fc wamepitia viti maalumu!

Bingwa wa viti maalumu!
 
Mbona hajawaalika na KMC! huyu Musonye anafikiri tutaogopa kushiriki au tutaenda kama ma underdog! Ngoja akaushudie "mziki" wa Yanga mpya! Nguvu moya!
Mkipangwa na As Vita club mtashangilia timu ipi hapo??
 
Ivi huyu Nikolas Musonye ni katibu mkuu wa kudumu wa CECAFA au CECAFA ni ya kwake... Maana nimeanza kumsikia tokea nipo primary
 
Shirikisho la soka Africa Mashariki ( CECAFA ) limeiarika klabu ya Yanga katika michano ya Kagame CUP itakayofanyika Rwanda ili ipate maandalizi ya kushiriki vizuri michuano ya klabu bingwa Africa.
Azam itashiriki Kama bingwa mtetezi Huku Simba ikishiriki Kama bingwa was Tanzania
Timu zingine zilizoalikwa Ni AS Vita DR Congo na Zesco ya ZambiaView attachment 1117756

eti nmusonye@yahoo.com yaani cecafa hawana hata domain yao na email zao au?
 
Back
Top Bottom