Mpira wa Tanzania kwa ngazi za vilabu upo juu Sana,ila tunajizarau tu kwa Kila kituKwanini haaliki timu za kwao Kenya?
Bazazi
Na hili shafii dauda alishawahi kuongea akiwa Kenya na akawaambia huo ukweliKabisa katika ligi za East Africa Tanzania ndo ligi Bora kuanzia ubora mpaka Maslahi
Sawa tausi nitamwambiaKwanini haaliki timu za kwao Kenya?
Bazazi
Yanga nayo ni nguvu moya! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Au zahera kasema Hilo jina tumependelewa na TFF anataka na Yanga watumie[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hajawaalika na KMC! huyu Musonye anafikiri tutaogopa kushiriki au tutaenda kama ma underdog! Ngoja akaushudie "mziki" wa Yanga mpya! Nguvu moya!
Usajili wa klabu bingwa Africa mwisho Ni June 30 na Cecafa inaanza July mwanzoni maana yake ukimsajili nyota alieng'aa CECAFA huwezi mtumia kwenye michuano ya kimataifaIla mi napenda Simba wasilalize nafasi za usajiri wa kimataifa ili kutumia michuano iyo kuangalia wa kusajiri
Tutachanga.Sijuwi kama hatakataa huo mwaliko , hela yakupanda ndege na kukaa hoteli n.k watapata wapi , najaribu kuwaza tu kwa sauti
Chief Coach Zahera atakuwa AFCON Misri.. Hatutaki nafasi yetu wachukue AFC LeopardsSitoshangaa Yanga wakikataa mwaliko kwa kuwa Simba yupo huko lazima watatafuta pa kutokea
Soma vizuri ila barua yao June 30 ni kusajiri timu zitakazoshiriki sio mwisho wa usajiri wa timu Kama sijakosea nawewe isome vizuriUsajili wa klabu bingwa Africa mwisho Ni June 30 na Cecafa inaanza July mwanzoni maana yake ukimsajili nyota alieng'aa CECAFA huwezi mtumia kwenye michuano ya kimataifa
Mashindano yana sponsors.. Alafu 10m ya nauli ya ndege watashindwa vp ligi nzima wamepanda ndege. Acheni kujitekenya na kucheka . .Sijuwi kama hatakataa huo mwaliko , hela yakupanda ndege na kukaa hoteli n.k watapata wapi , najaribu kuwaza tu kwa sauti