Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Huku tena chura fc wamepitia viti maalumu!Shirikisho la soka Africa Mashariki ( CECAFA ) limeiarika klabu ya Yanga katika michano ya Kagame CUP itakayofanyika Rwanda ili ipate maandalizi ya kushiriki vizuri michuano ya klabu bingwa Africa.
Azam itashiriki Kama bingwa mtetezi Huku Simba ikishiriki Kama bingwa was Tanzania
Timu zingine zilizoalikwa Ni AS Vita DR Congo na Zesco ya ZambiaView attachment 1117756
Mkipangwa na As Vita club mtashangilia timu ipi hapo??Mbona hajawaalika na KMC! huyu Musonye anafikiri tutaogopa kushiriki au tutaenda kama ma underdog! Ngoja akaushudie "mziki" wa Yanga mpya! Nguvu moya!
Shirikisho la soka Africa Mashariki ( CECAFA ) limeiarika klabu ya Yanga katika michano ya Kagame CUP itakayofanyika Rwanda ili ipate maandalizi ya kushiriki vizuri michuano ya klabu bingwa Africa.
Azam itashiriki Kama bingwa mtetezi Huku Simba ikishiriki Kama bingwa was Tanzania
Timu zingine zilizoalikwa Ni AS Vita DR Congo na Zesco ya ZambiaView attachment 1117756