Pilau linawapeleka kiyela kusini kwenye mashamba ya mpungaHii siyo sifa hata hao wachezaji hawajapenda kabisa basi tu mtu katumika msimu mzima mapumziko ni muhimu kwa afya ya mwili na akili...
Mboña ndoto ya watanzania wengi ni kuishi ulaya?Ndoto ya wamalawi wengi ni kuja kuishi Tanzania.
Huku wanakuona kama mambele.
Muli bwanjiKlabu ya Yanga imetangaza kupokea mwaliko maalumu kutoka serikali ya Malawi kucheza mchezo maalum kwenye maadhimisho ya ya miaka 59 ya Uhuru wa Taifa hilo lililopo Kusini Mashariki mwa bara la Afrika.
Katika sherehe hizo Yanga itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji wao Nyasa Big Bullets FC Julai 6, 2023 na tayari Afisa Habari wa timu hiyo Ally Kamwe amesema kikosi kitaanza safari Julai 5, 2023.
Je, ukisikia timu ya wananchi unaelewa nini?
#YangaSC #MalawiView attachment 2677308
Wanaenda kusherehesha tu kama achimenenguleMiaka 59 ya uhuru
Kuna dogo mmoja wa malawi anasema siku amefika dar hakuamini kama bado yupo Afrika[emoji38]Ndoto ya wamalawi wengi ni kuja kuishi Tanzania.
Huku wanakuona kama mambele.
We jamaa!!! 🤣 🤣 🤣 🤣Malawi hapo Tukuyu kwa Nyuma?
Dah!Na mkitoka huko mnaenda kuweka kambi Kigamboni
Mwaka jana sababu ilikuwa Azizi Ki kuzoa pesa zote.
Safari hii hakuna hela, ile baki ya faida tumelipia deni FIFA.
Sikusoma St Kayumba,hiyo siifahamu.Kama ulivyosoma shuleni .....mchango wa Yanga kupigania uhuru
IbabatoniMwakamogo ...ni Ngoma ya malawi
Tulibwino!Muli bwanji
Lilongwe ni kama Kibaha Town tu. Wenyewe wanahusudu sana kuishi Mbeya.Kuna dogo mmoja wa malawi anasema siku amefika dar hakuamini kama bado yupo Afrika[emoji38]
Mimi ni scientistFuatilia history