Yanga yaalikwa Malawi Sherehe za Uhuru

Yanga yaalikwa Malawi Sherehe za Uhuru

Klabu ya Yanga imetangaza kupokea mwaliko maalumu kutoka serikali ya Malawi kucheza mchezo maalum kwenye maadhimisho ya ya miaka 59 ya Uhuru wa Taifa hilo lililopo Kusini Mashariki mwa bara la Afrika.

Katika sherehe hizo Yanga itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji wao Nyasa Big Bullets FC Julai 6, 2023 na tayari Afisa Habari wa timu hiyo Ally Kamwe amesema kikosi kitaanza safari Julai 5, 2023.

Je, ukisikia timu ya wananchi unaelewa nini?

#YangaSC #MalawiView attachment 2677308
Muli bwanji
 
Na mkitoka huko mnaenda kuweka kambi Kigamboni

Mwaka jana sababu ilikuwa Azizi Ki kuzoa pesa zote.

Safari hii hakuna hela, ile baki ya faida tumelipia deni FIFA.
Dah!
Chuki yako kwa wananchi inaonekana kuwa kubwa kuliko hata upenzi wako kwa kolowitches.
 
Back
Top Bottom