Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point yako No.1 inashusha hadhi ya Jf kama chanzo muhimu cha taarifa. Kama huujui mpira acha wanaojua wachangie. Mimi ni shabiki wa mpira na mechi nimeiona lakini kusema penati yenye utata ni upotoshaji wa kitoto. Hata kama huwapendi hao Yanga sijui ndala kama unavyowaita sema ukweli maana kuna wengine hawajaiona hii mechi na wanaweza kukumbwa na ushabiki wako wakaamini kulikuwa na uonezi kumbe ni uchochezi wako tu.Pamoja na...
1. Ndala kupewa penati iliyojaa utata mkubwa sana.
2. Mtibwa kuonyesha kiwango kibovu sijawahi ona.. [TAKUKURU fanyeni kazi yenu katika hili].
.. hadi refa anapuliza kipyenga kumaliza mpira katika uwanja wa Jamhuri.. Mtibwa 0-0 Ndala.
NB: Msimamo unabakia vile vile.. Bingwa mtarajiwa wa VPL msimu huu, Simba SC anaendelea kuongoza ligi kwa gepu la pointi 2.. huku zimebaki mechi 6 tu.
Nakala; demigod Nifah Ulimakafu Nyenyere Sibonike Guasa Amboni Belo Makoye Matale na ndugu zao.
Point yako No.1 inashusha hadhi ya Jf kama chanzo muhimu cha taarifa. Kama huujui mpira acha wanaojua wachangie. Mimi ni shabiki wa mpira na mechi nimeiona lakini kusema penati yenye utata ni upotoshaji wa kitoto. Hata kama huwapendi hao Yanga sijui ndala kama unavyowaita sema ukweli maana kuna wengine hawajaiona hii mechi na wanaweza kukumbwa na ushabiki wako wakaamini kulikuwa na uonezi kumbe ni uchochezi wako tu.
Mateja FC jana walisumbua sana.. Ha ha ha ha ha.. Mjue mungu si mkata umeme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nifuraha kwetu wanasimba
Huyo Yondan bora na wewe umeona!Na hiyo ni kwako.. Kwangu ni penati yenye utata Mkubwa saaana.. Ndugu zangu wa bodi ya ligi mchunguzeni refa wa mechi ya leo.. pia kuna mtu kama Yondani nimeshangaa anamalizaje dk 45.. ina maana refa leo red card hakuingia nayo uwanjani??!
Itafungwa na wengi tu sio azam pekee kw mpira ule ligi ikiisha itaisha na watuYanga akifungwa na Azam shughuri imeisha
Yaani mikia bwana,, hamjihurumii kwamba mnafungwa na vitimu vya ovyo ovyo kweli? Jana yenyewe bila mbereko mlikuwa mmeloa! Kagera kwenyewe hamchomoki, mkija kwa Mbao FC pale napo mnaacha point!!Yanga akifungwa na Azam shughuri imeisha
Kwani nyinyi Unga Limited FC mko nafasi ya ngapi.? maana mnatia huruma kwa vile miezi sasa hamfiki juu..!Yaani mikia bwana,, hamjihurumii kwamba mnafungwa na vitimu vya ovyo ovyo kweli? Jana yenyewe bila mbereko mlikuwa mmeloa! Kagera kwenyewe hamchomoki, mkija kwa Mbao FC pale napo mnaacha point!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] .. Hii mijamaa inatia huruma kweli.Kwani nyinyi Unga Limited FC mko nafasi ya ngapi.? maana mnatia huruma kwa vile miezi sasa hamfiki juu..!
Mkuu.. Hii mijamaa uwezo wao wa kupiga penati ndo umeishia hapo. Hata kama wakimpa yule kocha wao lazima nae apaishe tu.Hawa ndala wajifunze kupiga penat kila siku msuva anapaisha.[emoji23][emoji23][emoji23]