Tetesi: Yanga yadaiwa kufungiwa kusajili

Tetesi: Yanga yadaiwa kufungiwa kusajili

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Wakuu inadaiwa timu ya yanga imefungiwa kusajili kutokana na kukiuka hukumu iliyotolewa na vyombo vya maamuzi vya FIFA.

Je taarifa hizi zina ukweli wowote?

1687785124735.png
 
Hii nchi,ikute ni habari ya kutunga.
Unaambiwa Yanga SC yenye bajeti ya Bil 20 next season.

Yaani Yanga SC hii hii iliyo maliza Ligi na net profit ya Milion 500...

....Ati imeshindwa kulipa Mil 150 kwa Luc Eymael.


Kikwete alisema:-

"Za kuambiwa Changanya na Zako"
20230621_215254.jpg
 
Samahani lakini sijui ni mtazamo wangu? Yaani wapenzi wengi wa Simba sc a k a pakashume wana vitatabia fulani vya kike kike yaani wivu wa roho ya kwa nini.
 
Hii nchi,ikute ni habari ya kutunga.
Sasa kama tunauza bandari ni kitu gani tena kitatushinda?

Unaweza kukuta ni Utopolo kaleta habari ili kuwazengua Makolo

Au unaweza kukuta ni Kolo linataka kuwazengua Mautopoloz

Hii nchi ngumu sana, tumwache mama aendelee kuupiga mwingi

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom