Tetesi: Yanga yadaiwa kufungiwa kusajili

Tetesi: Yanga yadaiwa kufungiwa kusajili

Tuna Mayele no problem, shida iko palepale.
 
Attachments

  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    FB_IMG_1685865513846.jpg
    84.1 KB · Views: 4
Mimi japokuwa siipendi Yanga lakini ikifungiwa sitafurahia,napenda ushindani wa nguvu kati ya Simba na Yanga kwani kukosekana kwa timu mojawapo au timu mojawapo ikiwa na kiwango cha chini sana ladha ya ligi inapungua.
 
Click to expand...
Huwezi amini...

Kwenye Gala Dinner ya Jana....

Tyr Again amesema kama Yanga kashika nafasi ya pili CAFCC na wakafurahi, kwanini sisi simba tusifurahi kushika nafasi ya pili kwenye Ligi...? Nme copy
 
Dawa ya deni ni kulipa. FIFA imeipiga ban timu ya Yanga ya Tanzania mpaka ilipe deni wanalodaiwa na aliyekuwa kocha wao Luc Eymael

Kama kawaida yao wakapuuza agizo la FIFA wakijua ni TFF ya Karia.

Yanga ni home of thugs
 
Watamlipa GHARIB SALIM MOHAMMED (GSM)
Ana Cash Nyingi
 
Kama kawaida yao wakapuuza agizo la FIFA wakijua ni TFF ya Karia.

Yanga ni home of thugs
Huwa Napenda Sana ushabikie habari ambazo ni 100% conformed. Otherwise habari hiyo uiandike kama tetesi. Micky Jr dakika 30 zilizopita kaandika kitu tofauti na hiki. Siwezi kumtag Huyo hapo juu maana ni mwanafunzi kwenye utoaji wa Taarifa. Mimi nadeal na wewe Nguli.
 
Hivi ile issue ya Amisi Tambwe si inafanana na hii, hivi waliimaliza baada ya muda gani maana sina kumbukumbu kama kuna msimu walishindwa kusajili kabisa.

Embu tupitishe bakuli jamani tuokoe jahazi.
 
Kama kawaida yao wakapuuza agizo la FIFA wakijua ni TFF ya Karia.

Yanga ni home of thugs
Utaingizwa king bora uwe na akiba ya maneno huyo Micky ni muongo kama Manara
 
Huwa Napenda Sana ushabikie habari ambazo ni 100% conformed. Otherwise habari hiyo uiandike kama tetesi. Micky Jr dakika 30 zilizopita kaandika kitu tofauti na hiki. Siwezi kumtag Huyo hapo juu maana ni mwanafunzi kwenye utoaji wa Taarifa. Mimi nadeal na wewe Nguli.
Point
 
Back
Top Bottom