Yanga yadaiwa kuipokea Njombe Mji; wailipia hoteli ili kuihujumu Simba

Kila siku mnatuhubiria kuwa Yanga kuna ukata sasa hizo pesa za kuwafanyia hivyo Njombe mji zinatoka wapi ?

Mikia acheni kulialia kama kawaida yenu.
 
Kwahiyo unadhani simba yaweza fungwa? Je hao Njombe ni" mji wataruhisiwa kuchezesha wachezaji zaidi ya 11 pambana na hali yenu
 
Kwa akili kama zako naona Manara ana uwezo wa kua m'kiti kabisa wa Mikia
 
We ni mjinga wa kiwango cha phd ya heshima. Kwa hiyo kuifunga simba ni hujuma? Yaani mnapenda ushindi wa mezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…