Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo blaa blaa tu.
msemaji wao nae si mropokaji tu,kaichukua kama ilivyo hahahAngalia ulivyomuingiza cha kike msemaji wenu
We ni mjinga wa kiwango cha phd ya heshima. Kwa hiyo kuifunga simba ni hujuma? Yaani mnapenda ushindi wa mezaniHabari zilizozagaa mtaani ni kuwa wadau wa Yanga wameipokea klabu ya Njombe Mji hapa mjini na kuilipia hotel katika hotel ya AVAN HOTEL SINZA.
Habari za ndani kabisa zimedai kuwa Yebo wamelipa kiasi cha tsh 5000,000 million tano na nyingine million tano baada ya mechi.
Lengo kuu la vyura kufanya hvyo ni kuhakikisha wanafanya kila namna na kila njia wachezaji wa Simba wapate kadi au wawasababishie majeruhi ili waweze kukosa mechi ya Derby trh 28/10/2017.
Pia kuna habari kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Giza ambaye anakaa na funguo za chumba number 8 ambacho ni maalum kwa mambo meusi pale Jangwani bwana M na wenzie wameelekea Pemba kwa ajili ya kazi hiyo.
Tutaendelea kuwaletea mengine zaid kadri antenna zetu ztakavyonasa
Anataka kutambika!Karne hii unaleta ukabila??? Ukabila???