Yanga yadaiwa kuipokea Njombe Mji; wailipia hoteli ili kuihujumu Simba

Yanga yadaiwa kuipokea Njombe Mji; wailipia hoteli ili kuihujumu Simba

Kila siku mnatuhubiria kuwa Yanga kuna ukata sasa hizo pesa za kuwafanyia hivyo Njombe mji zinatoka wapi ?

Mikia acheni kulialia kama kawaida yenu.
 
80dc4fcbadca53d0f1bc2c110dd2186d.jpg
Hizo blaa blaa tu.
 
Kwahiyo unadhani simba yaweza fungwa? Je hao Njombe ni" mji wataruhisiwa kuchezesha wachezaji zaidi ya 11 pambana na hali yenu
 
Kwa akili kama zako naona Manara ana uwezo wa kua m'kiti kabisa wa Mikia
 
Habari zilizozagaa mtaani ni kuwa wadau wa Yanga wameipokea klabu ya Njombe Mji hapa mjini na kuilipia hotel katika hotel ya AVAN HOTEL SINZA.

Habari za ndani kabisa zimedai kuwa Yebo wamelipa kiasi cha tsh 5000,000 million tano na nyingine million tano baada ya mechi.

Lengo kuu la vyura kufanya hvyo ni kuhakikisha wanafanya kila namna na kila njia wachezaji wa Simba wapate kadi au wawasababishie majeruhi ili waweze kukosa mechi ya Derby trh 28/10/2017.

Pia kuna habari kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Giza ambaye anakaa na funguo za chumba number 8 ambacho ni maalum kwa mambo meusi pale Jangwani bwana M na wenzie wameelekea Pemba kwa ajili ya kazi hiyo.

Tutaendelea kuwaletea mengine zaid kadri antenna zetu ztakavyonasa
We ni mjinga wa kiwango cha phd ya heshima. Kwa hiyo kuifunga simba ni hujuma? Yaani mnapenda ushindi wa mezani
 
Back
Top Bottom