Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

Kufanya jambo hilo hilo kwa aina ile ile na kufeli na kulirudia mara 3 na kutegemea matokeo tofauti ni uendawazimu.
Manara pamoja na ujinga wake kwenye alilosema wenye akili ni wawili hakukosea.
 
Kuna ka laana fulani kanatembea pande hizo ka kukosa akili
 
Hawana tofauti na kuku kishingo aliyekatwa kichwa .
 
Yaani kuna watu wanatia aibu sana yalivyokuwa yamekaza fuvu mara kufanya maandamano mara kwenda mkapa kwenye kikao cha viongozi kushinikiza hatuchezi mara kuprint matisheti ya hatuchezi hatuchezi lakini yataleta timu na mechi itachezwa na tulikuwa tukiwaambia toka mwanzo Yanga hana ubavu wa kugomea hii mechi wakajifanya vichwa ngumu haya sasa aibu hii.
 
Yanga wanataka point 3 bila kumkaba Mpanzu!
Hakuna hiyo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kuna barua naona inasambaa kwenye mtandao,naona imetokea CAS ikionesha kuwa tumeshindwa,Sasa basi kama ni kweli,nilikuwa nashauri jambo moja,mnapo amua kufanya jambo,Kuna mambo matatu ya kuzingatia,kwanza mfikirie,pili mtafakari,tatu mtoe maamuzi,ni jambo la aibu sisi kushindwa Kila jambo,hata Kwa wachezaji ni hivyohivyo,Timu utafikiri Haina wanasheria,Kipindi Kuna baadhi ya wachezaji utasikia wameachwa,baada ya muda utasikia wametushitaki,mbona wenzetu hatusikii,sisi mashabiki hatujisikii vizuri,msipende kuchukua maamuzi ya kukurupuka,hata Kwa upande wa makocha, mjiridhishe xna,ndio mchukue makocha,
 
Reactions: Tui
Hivi hawa wanasheria wa yanga vipi wanaferi wapi aise
 
Reactions: Tui
Hawa wanasheria wa yanga wanafaa kucharazwa mboko haiwezekani watuingize kwenye hasara .

Hivi kwanza wanatuchukuliaje sisi mashabiki aise.Wanafanya wanasimba watucheke.

Haiwezekani kila kesi wanaangukia pua hawa mbwa wanakerq sana pumbavu hawa.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ