Yanga yafungiwa na FIFA kufanya usajili kwa misimu 3

Pale mkurgenzi wa habari wa mbumbumbu fc mwenye elimu ya uwalimu wa Madrass anapo tafutiza vihabari uchwala ili kujaribu kuwatoa Wananchi kwenye Reli.
 
Pale mkurgenzi wa habari wa mbumbumbu fc mwenye elimu ya uwalimu wa Madrass anapo tafutiza vihabari uchwala ili kujaribu kuwatoa Wananchi kwenye Reli.
Hivi utakuwa na akili lini wewe Uto, hiyo habari ameongea Tambwe na Wakili wake na Audio zipo, sasa inakuwaje unatapatapa kutafuta pa kufia?

Hata Kitenge wenu amepost, sasa wenge kwa wengine linatoka wapi?
 
Hata hamjamaliza kuogelea kwa furaha gundu lingine limeanza
 
Sijaelewa sasa hapo hao fifa wamemsaidia vipi tambwe?
 
Uamuzi huu wa FIFA maana yake ni kukazia hukumu iliyotolewa ya kumlipa Tambwe haki yake. Au na hapa hujaelewa?
Bado sijakupata mkuu, ikiwa yanga wataitekeleza hiyo adhabu kwa kosa walilomfanyia tambwe, tambwe atakuwa amepata nini? Au wasipomlipa watakutana na rungu jingine hadi atakapolipwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…