Yanga yafungiwa na FIFA kufanya usajili kwa misimu 3

Yanga yafungiwa na FIFA kufanya usajili kwa misimu 3

Pale mkurgenzi wa habari wa mbumbumbu fc mwenye elimu ya uwalimu wa Madrass anapo tafutiza vihabari uchwala ili kujaribu kuwatoa Wananchi kwenye Reli.
 
Pale mkurgenzi wa habari wa mbumbumbu fc mwenye elimu ya uwalimu wa Madrass anapo tafutiza vihabari uchwala ili kujaribu kuwatoa Wananchi kwenye Reli.
Hivi utakuwa na akili lini wewe Uto, hiyo habari ameongea Tambwe na Wakili wake na Audio zipo, sasa inakuwaje unatapatapa kutafuta pa kufia?

Hata Kitenge wenu amepost, sasa wenge kwa wengine linatoka wapi?
 
Mbumbumbu wasicho tambua hakunaga kifungo cha miaka kadhaa ya kusajili.timu Ina adhibiwa kwa madirisha ya usajili kwaiyo mleta taarifa aende akamwambie aliye mtuma wanatakiwa warekebishe Kwanza ili uongo uendane kidogo na ukweli.
Kingine mbumbumbu fc wasicho fahamu timu inawezakusajili wachezaji inao wataka na kuwapeleka sehemu nyingine wakacheze mbaka pale muda wa adhabu unapoisha wanawatumia.
Hata hamjamaliza kuogelea kwa furaha gundu lingine limeanza
 
Sijaelewa sasa hapo hao fifa wamemsaidia vipi tambwe?
 
Uamuzi huu wa FIFA maana yake ni kukazia hukumu iliyotolewa ya kumlipa Tambwe haki yake. Au na hapa hujaelewa?
Bado sijakupata mkuu, ikiwa yanga wataitekeleza hiyo adhabu kwa kosa walilomfanyia tambwe, tambwe atakuwa amepata nini? Au wasipomlipa watakutana na rungu jingine hadi atakapolipwa?
 
Back
Top Bottom