Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajafungiwa moja kwa moja but endapo waspolipa ndo watakua bannedLIPENI HELA WAJINGA NYIE BADO ZAHERA,DANTE, KESSY ,YONDANI,.MTASAJILI 2024..POLENI MANYANI FC
Hivi utakuwa na akili lini wewe Uto, hiyo habari ameongea Tambwe na Wakili wake na Audio zipo, sasa inakuwaje unatapatapa kutafuta pa kufia?Pale mkurgenzi wa habari wa mbumbumbu fc mwenye elimu ya uwalimu wa Madrass anapo tafutiza vihabari uchwala ili kujaribu kuwatoa Wananchi kwenye Reli.
Hata hamjamaliza kuogelea kwa furaha gundu lingine limeanzaMbumbumbu wasicho tambua hakunaga kifungo cha miaka kadhaa ya kusajili.timu Ina adhibiwa kwa madirisha ya usajili kwaiyo mleta taarifa aende akamwambie aliye mtuma wanatakiwa warekebishe Kwanza ili uongo uendane kidogo na ukweli.
Kingine mbumbumbu fc wasicho fahamu timu inawezakusajili wachezaji inao wataka na kuwapeleka sehemu nyingine wakacheze mbaka pale muda wa adhabu unapoisha wanawatumia.
Nimeiata nam duuuKuna audio inatembea anazungumza Tambwe mwenyewe.
ThubutuuuuSource ya habari yako?
Anyway tuna kikosi bora for the next four Years
Yaan ww usiye na akili kbsa ndiye human ila wenye akili tumeamini kwa kufatilia na maeneo mengine kujua UKWELI WA MAMBO. PoleeeeWenye Akili ndogo wameamini bila ya chanzo cha Habari
Sawa dada mvaa vjora na madela. Jitahid uwe unafatilia football na habari zakeMbumbumbu naona wapo Bize kuzima habari kubwa ya Media Day baada ya lile shindano lao la kujitekenya na kucheka wenyewe kukosa kiki
Chanzo cha tarifa.
Uamuzi huu wa FIFA maana yake ni kukazia hukumu iliyotolewa ya kumlipa Tambwe haki yake. Au na hapa hujaelewa?Sijaelewa sasa hapo hao fifa wamemsaidia vipi tambwe?
Bado sijakupata mkuu, ikiwa yanga wataitekeleza hiyo adhabu kwa kosa walilomfanyia tambwe, tambwe atakuwa amepata nini? Au wasipomlipa watakutana na rungu jingine hadi atakapolipwa?Uamuzi huu wa FIFA maana yake ni kukazia hukumu iliyotolewa ya kumlipa Tambwe haki yake. Au na hapa hujaelewa?