Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hili jambo tangu zamani nilikuwa natamani sana baadhi ya mechi za kimataifa zifanyike nje ya DSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jambo tangu zamani nilikuwa natamani sana baadhi ya mechi za kimataifa zifanyike nje ya DSM
Utakuwa na maumivu ya UD Songo au bado haijachomoka niniBikra lazima ing’olewe hata ubadili Guest!
Alisikika Mlevi mmoja
Mbona kila siku mnalialia ya UD SONGO Inauma hadi leo toka amewatoa pale taifa?Timu yenye Bikira Tz ni Simba tu, hao walitolewa na Police Tz, akaja Ruvu shouting akapita, Akaja Zesco akapita . Saizi hapo ni jamvi la wageni. Pyramid nao watapita
Mbumbumbu kazi sana kumueleweshaYanga inaongozwa na wapumbavu. Maamuzi ya kujuha haya faida yake nini?
Ni kutapatapa tu!!!
Wanao lia na UD songo ni vipensi fc,Mbona kila siku mnalialia ya UD SONGO Inauma hadi leo toka amewatoa pale taifa?
Hivi Pan Africa ndo ya wapi?Caf Group stage,Group E.
Bandari
Simba
Mashujaa fc
Uniao desportiva do songo.
Wanao lia na UD songo ni vipensi fc,
Sababu yao kubwa ni kwamba wanajificha Kwenye kivuli cha Simba kutolewa na UD Songo kutokana na matokeo mabovu inayoyapata.
Mfano wewe hapa umeitaja UD Songo unaacha kuwataja pyramid unaoenda kukutana nao.
Sisi Simba tunamuaza Azam pekee
Baada ya 1-1 kikafuata nini?Ud songo ilikuwa 1 - 1 HII GAME YANGA LAZMA APIGWE