Yanga yahamishia mchezo wake na Pyramid CCM Kirumba - Mwanza

Yanga yahamishia mchezo wake na Pyramid CCM Kirumba - Mwanza

Timu yenye Bikira Tz ni Simba tu, hao walitolewa na Police Tz, akaja Ruvu shouting akapita, Akaja Zesco akapita . Saizi hapo ni jamvi la wageni. Pyramid nao watapita
Mbona kila siku mnalialia ya UD SONGO Inauma hadi leo toka amewatoa pale taifa?
 
Sababu za kubadili uwanja wao wa nyumbani ( national stadium) ni ipi au zipi?
Naomba kuelimishwa tafadhali
 
Caf Group stage,Group E.

Bandari
Simba
Mashujaa fc
Uniao desportiva do songo.
 
Nilisikia msemaji wao moja akisema redioni kuwa Simba "Wameuharibu" sana uwanja wa taifa...!!!
 
Sisi yanga asili tutawapiga nyingi tu waarabu,majirani zetu wa
kariakoo mkuje kwa wingi Kirumba tuujaze uwanja
 
Wanataka wakawatishie waarabu na majoka wana mbinu za kishamba sana
 
Mhamasishaji ameshindwa kuhamasisha mashabiki kujaza uwanja anabaki kupiga vijembe visivyo na maana kwa kifupi yanga wameajili mchezaji taarabu
 
Mbona kila siku mnalialia ya UD SONGO Inauma hadi leo toka amewatoa pale taifa?
Wanao lia na UD songo ni vipensi fc,
Sababu yao kubwa ni kwamba wanajificha Kwenye kivuli cha Simba kutolewa na UD Songo kutokana na matokeo mabovu inayoyapata.
Mfano wewe hapa umeitaja UD Songo unaacha kuwataja pyramid unaoenda kukutana nao.
Sisi Simba tunamuaza Azam pekee
 
Kwahiyo matokeo ya UD Songo kwenu palikuwa mazuri? Mbona usiku kucha mnaiwaza Yanga wakati nyie yamewashinda?

Back
Top Bottom