Nimecheka kwa nguvu πππππI love you nyokoooooo,,,,
Itakuwa yanga wamepata elfu6 tuHaina tija kivipi?
Simba walikua na mchango wa kuchangia Uwanja na zikapatikana TZS 60 Mil tu kipindi chote hicho, lakini ndani ya siku 10 tu za kampeniehii zimepatikana zaidi ya TZS 100Mil.
Ongeza na rostamGSM na Manji nao watoe basi twende sawa
Sema ukweli tu amna helaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Shindano lenyewe lilikuwa ni la kijinga tu! Halikuwa na kichwa wala miguu!
Kwa kiasi kikubwa lilikuwa na lengo la kupoza machungu ya mashabiki wa Makolo fc baada ya timu yao kuambulia kombe moja tu! Tena ni la bonanza msimu mzima.