Yanga Yaingia Mitini shindano la "Nani Zaidi"

Yanga Yaingia Mitini shindano la "Nani Zaidi"

Haya mambo ya Nani zaidi hapa Tanzania ni balaa , kuna wakati Nani zaidi ya Redio One , Hadija Kopa aliwahi kumshinda Madonna , Mtangazaji wa kipindi alikuwa Charles Hillary
 
Haina tija kivipi?

Simba walikua na mchango wa kuchangia Uwanja na zikapatikana TZS 60 Mil tu kipindi chote hicho, lakini ndani ya siku 10 tu za kampeniehii zimepatikana zaidi ya TZS 100Mil.
Itakuwa yanga wamepata elfu6 tu
 
Shindano lenyewe lilikuwa ni la kijinga tu! Halikuwa na kichwa wala miguu!

Kwa kiasi kikubwa lilikuwa na lengo la kupoza machungu ya mashabiki wa Makolo fc baada ya timu yao kuambulia kombe moja tu! Tena ni la bonanza msimu mzima.
 
Sema ukweli tu amna helaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom