Yanga yaingia robo fainali ya Kafulila Cup

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Timu ya Yanga Wakereketwa ya huko Wilaya ya Sengerema imefanikiwa kuingia robo fainali ya Kafulila Cup baada ya kuifunga timu ya MC Gara B FC goli 4-0.

Pichani, wachezaji wa Yanga wakishangilia goli la 3 kwa kumtekenyatekenya mwamuzi

Matokeo hayo yanafuta machozi matokeo mabaya timu ya Yanga iliyoyapata ya kutolewa na timu ya MC Algier ya Algeria katika kombe la CAFCL.
 
Kwenye wale mbu watatu(mbu+mbu+mbu) wa mzee rage, we ni mbu gani kati ya anopheles, culex & aedes?
 
Kwenye wale mbu watatu(mbu+mbu+mbu) wa mzee rage, we ni mbu gani kati ya anopheles, culex & aedes?
Hongereni kwa kusonga mbele kwenye Kafulila Champions League. Mnaenda kucheza na Al Ahly Nyamagana FC katika mchezo ujao.
 
Binafsi nilishaacha kuheshimu watu JF.
 
Wakati mwingine jitahidi watu wasijui kuwa huna akili
 
Uzuri wana ushindi wa kujiliwaza
 
YAMETIMIA
 
Kwenye wale mbu watatu(mbu+mbu+mbu) wa mzee rage, we ni mbu gani kati ya anopheles, culex & aedes?
Aya sasa, tukitoa wale wawili wenye akili mnabaki wakosa akili wangapi huko? Pole sana mkosa akili[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…