Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasemaje?Wakati mwingine jitahidi watu wasijui kuwa huna akili
Dah! Haya bhana, asiekubali kushindwa si mshindani, japo maumivu yetu jana hayapimiki kiukweli.Aya sasa, tukitoa wale wawili wenye akili mnabaki wakosa akili wangapi huko? Pole sana mkosa akili
Kubahatisha ndo kunakufanya ujipe unabii wa mchongo?Wengine humu ni manabii ni basi tu tunachukuliana poa
Sasa huyu ana tofauti gani na laban og? Au ngara.Aliyewaita mbumbumbu mashabiki wa aina hii, huko aliko atakuwa anajipiga tu kifua kwa kujiona ni shujaa kiasi gani, na ni kwa namna gani aliwaza mbali!
Nimekukosea sana nisamehe mkuuKufananishwa na hao viumbe wawili ni kashfa kubwa saaana. Ntakutafuta blo tuyamalize kiutu uzima 💪