Mpaka itabaki Yangaπππ π[emoji2956][emoji617]
Baada ya mchujo kutoka 10 bora, Young Africans SC rasmi tumeingia 5 Bora kwenye Tuzo za Klabu Bora ya Mwaka Barani Afrika #cafawards2023
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwikoπ’π‘
Timu zilizopenya hatua ngumu ya Tano Bora 5 ( no ambayo makolo wanakimbia)[emoji1][emoji23]
1.Mamelodi sundown
2. Al ahly
3. Wydad Casablanca
4. Young Africa
5. USM Alger
NB Maendeleo hayana Chama View attachment 2816505
Hamchukui ng'ooo....ππMungu atusaidie tuchukue hii tuzo ππ½
Hili ni fumbo Kali sana kwa Makolo kila siku wako robo Tu na Kuga kiume.Chizi hata aende mbali vipi lazma atarejea na makopo.
Hamchukui ng'ooo....ππMungu atusaidie tuchukue hii tuzo ππ½
Ni sawa na yule anayeishia robo kila siku. Anaenda mbali ila kila mwaka anarudi na kopo la roboChizi hata aende mbali vipi lazma atarejea na makopo.
Moja ya mashabiki wa mwakarobo wanaoinjoi mpira ni ww huna muda wa kuumia ni mwendo wa kujitoa ufaham tuuAsante kwa kushiriki jaribuni tena baadae....