Yanga yaingia top 5 ya tuzo za club Africa CAF

Yanga yaingia top 5 ya tuzo za club Africa CAF

𝐓𝐎𝐏 𝟓[emoji2956][emoji617]

Baada ya mchujo kutoka 10 bora, Young Africans SC rasmi tumeingia 5 Bora kwenye Tuzo za Klabu Bora ya Mwaka Barani Afrika #cafawards2023
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko🟢🟡

Timu zilizopenya hatua ngumu ya Tano Bora 5 ( no ambayo makolo wanakimbia)[emoji1][emoji23]

1.Mamelodi sundown
2. Al ahly
3. Wydad Casablanca
4. Young Africa
5. USM Alger
NB Maendeleo hayana Chama View attachment 2816505
Mbona siioni ile timu iliyofungwa khamsa ✋ siku chache zilizopita? Mashabiki wake walikuwa wanachonga sana msimu uliopita.
 
Bonyeza link hiyo kujiunga 👇👇👇👇👇👇👇
Umekata tamaa na Betting na ujui njia gan utumia kupata pesa kwajili ya kukupa Ada, KUNUNUA nguo, nakulipa Kodi ya nyumba inbox nikuunge watu wengi walio jiunga wameanza kuona faida ya kubet mtaji wa 1,000 unatosha kabisa
 
Hata poll ,vyovyote vile hamtoboi mtakuwa wa mwisho msiache kuleta updates naomba usisahau kunitag

Mabango mawili tu povu na chuki kiasi hiki,yangewekwa nchi nzima kama walivokusudia sungeua fans wa yanga unaopishana nao mtaani?..manake macgapisho yako yote humu huyan hoja ya devaluate yanga kwenye hiyo orodha zaidi yachuki zako binafsi kwa timu?
 
Back
Top Bottom