Yanga yaingia top 5 ya tuzo za club Africa CAF

Mfano Yanga hapo atapenya vipi? Al Ahly bingwa wa CAF, Mamelodi bingwa wa African football league,Wydad kacheza fainali ya AFL na club bingwa,USM kacheza fainali ya shirikisho na bingwa wa Super Cup.
 
Kwa sasa kocha gamondi kazi ya kiufundi ameifanya kwa 90% kilichobaki azidi kuwajenga kisaikolojia vijana kina Dickson Job na kundi lake kuwa hili kombe la cafcl mwaka huu ni Lao .
Yoyote atakayekuja ni Kipigo .
Au tuishie robo fainali [emoji23]
 
Mfano Yanga hapo atapenya vipi? Al Ahly bingwa wa CAF, Mamelodi bingwa wa African football league,Wydad kacheza fainali ya AFL na club bingwa,USM kacheza fainali ya shirikisho na bingwa wa Super Cup.
Tuombeane mema mkuu [emoji23]
 
Wanaweza angalia nani kakusanya points nyng!!
Mkuu point nyingi hao majamaa kila mwaka wapo,kumbuka points za shirikisho hazifanani na club bingwa,wenzako wamekusanya za club bingwa hadi wakachukua kombe,we umekusanya shirikisho ukafika fainali,sasa hapo nani kakusanya points zaidi ndani ya huo msimu?
 
mimba tena [emoji854] anyway hio ndio miamba ya Africa inayotambulika na CAF
Sasa weka takwimu kwa timu moja moja hapo kwa huo msimu kwenye hao watano Yanga ni wa ngapi? Takwimu ziongee siyo ushabiki,iwe takwimu ya mda wote au kwa huo msimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…