Mbona siioni ile timu iliyofungwa khamsa β siku chache zilizopita? Mashabiki wake walikuwa wanachonga sana msimu uliopita.πππ π[emoji2956][emoji617]
Baada ya mchujo kutoka 10 bora, Young Africans SC rasmi tumeingia 5 Bora kwenye Tuzo za Klabu Bora ya Mwaka Barani Afrika #cafawards2023
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwikoπ’π‘
Timu zilizopenya hatua ngumu ya Tano Bora 5 ( no ambayo makolo wanakimbia)[emoji1][emoji23]
1.Mamelodi sundown
2. Al ahly
3. Wydad Casablanca
4. Young Africa
5. USM Alger
NB Maendeleo hayana Chama View attachment 2816505
Ukisha ingia top 5 ni mshindi kama nyie robo fainali hua mnajiita giant mngefika nusu fainali ingekuaje?Hata poll ,vyovyote vile hamtoboi mtakuwa wa mwisho msiache kuleta updates naomba usisahau kunitag
Hapo tulipo tumefikaje mwalimu wa Mathe?Hata poll ,vyovyote vile hamtoboi mtakuwa wa mwisho msiache kuleta updates naomba usisahau kunitag
Hata poll ,vyovyote vile hamtoboi mtakuwa wa mwisho msiache kuleta updates naomba usisahau kunitag