Yanga yaingia Tunisia na Jeshi la Ushindi

Topolo FC watapigwa! Huko hakuna pila minoti,kipa amtemee AZIZ K afunge😀😀
 
Naona zile kelele za makolo " kwa mwarabu hamtoki siku hizi hamna.........hata thread sizioni humu........".
 
Hiyo logo ya CAF champions League imefuata nini hapo..?

Hiyo logo ni kwa timu kubwa tu...
Nyie tumieni logo ya CAF confederation cup.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yanga wakatuwakilishe vyema watuonyeshe ubora wa kikosi chao
 
Kila la heri timu ya kwanza kuanzishwa Tanzania na yenye makombe mengi ya ligi.
 
Mbona naona kama hili ni "JESHI LA WOKOVU. ?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…