OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nina taarifa kwamba Arta Solar 7 ya Djibout iliwasilisha maombi ya kucheza mechi za kirafiki na Simba, Yanga na Azam. Club za Simba na Azam zilifurahishwa na maombi hayo na kuyakubali kama sehemu ya kujiandaa na mechi za kimataifa. Huku wenzao wa Yanga wakiyakataa maombi hayo.
Jambo hilo lilichukuliwa kama kuingia woga wa kufungwa. Ikumbukwe kwamba kocha wa Yanga hakuwahi kushinda mechi yeyote ya kimataifa, jambo linalotia shaka uwezo wake
Jambo hilo lilichukuliwa kama kuingia woga wa kufungwa. Ikumbukwe kwamba kocha wa Yanga hakuwahi kushinda mechi yeyote ya kimataifa, jambo linalotia shaka uwezo wake