ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Ni kweli Pan Africa wale tuliocheza nao kule Avic town ni washindani kuliko Kotoko[emoji3][emoji3][emoji3]Iyo timu sawasawa na Kotoko ni timu za Kariba yenu, uwezi kucheza mechi na timu isiyo na ushindani alafu ukajitathmini unafanya hivyo Kwa faida ya nani?
Ni Bora upate timu ya ligi kuu iliyo changamka na ikakupa mechi kuliko ao wa Djibut.