OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hiki kiherehere sijawahi kuona, si mkacheze nyie mliokubali unaumia nini?Nina taarifa kwamba Arta Solar 7 ya Djibout iliwasilisha maombi ya kucheza mechi za kirafiki na Simba, Yanga na Azam. Club za Simba na Azam zilifurahishwa na maombi hayo na kuyakubali kama sehemu ya kujiandaa na mechi za kimataifa. Huku wenzao wa Yanga wakiyakataa maombi hayo.
Jambo hilo lilichukuliwa kama kuingia woga wa kufungwa. Ikumbukwe kwamba kocha wa Yanga hakuwahi kushinda mechi yeyote ya kimataifa, jambo linalotia shaka uwezo wake
Utopolo oneni[emoji115]mwenzenu huyu ka comment hapo.Iyo timu sawasawa na Kotoko ni timu za Kariba yenu, uwezi kucheza mechi na timu isiyo na ushindani alafu ukajitathmini unafanya hivyo Kwa faida ya nani?
Ni Bora upate timu ya ligi kuu iliyo changamka na ikakupa mechi kuliko ao wa Djibut.
Kwa hiyo ninyi kariba yenu ni KMC? Jana mmewapiga 2-1 kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifaIyo timu sawasawa na Kotoko ni timu za Kariba yenu, uwezi kucheza mechi na timu isiyo na ushindani alafu ukajitathmini unafanya hivyo Kwa faida ya nani?
Ni Bora upate timu ya ligi kuu iliyo changamka na ikakupa mechi kuliko ao wa Djibut.
Samahani lakiniIyo timu sawasawa na Kotoko ni timu za Kariba yenu, uwezi kucheza mechi na timu isiyo na ushindani alafu ukajitathmini unafanya hivyo Kwa faida ya nani?
Ni Bora upate timu ya ligi kuu iliyo changamka na ikakupa mechi kuliko ao wa Djibut.
Mbona inacheza na Friends Rangers ya Manzese?... uwezi kucheza mechi na timu isiyo na ushindani alafu ukajitathmini unafanya hivyo Kwa faida ya nani?
huyu afatilii,muacheni tu ajui kitu.Mbona inacheza na Friends Rangers ya Manzese?
Huo uzoefu umeupata wapi hadi ukaandika hizo pumba?Iyo timu sawasawa na Kotoko ni timu za Kariba yenu, uwezi kucheza mechi na timu isiyo na ushindani alafu ukajitathmini unafanya hivyo Kwa faida ya nani?
Ni Bora upate timu ya ligi kuu iliyo changamka na ikakupa mechi kuliko ao wa Djibut.
Ndio,yupo na Alexander SongHii timu ndio yuko Solomon Kalou?
Nafasi ya Senzo ipo wazi nenda kapeleke CV zako uwe mshauri na mtendaji it's like una ujuzi umeukalia, wakikataa nenda kamtoe Barbara ukae weweNina taarifa kwamba Arta Solar 7 ya Djibout iliwasilisha maombi ya kucheza mechi za kirafiki na Simba, Yanga na Azam. Club za Simba na Azam zilifurahishwa na maombi hayo na kuyakubali kama sehemu ya kujiandaa na mechi za kimataifa. Huku wenzao wa Yanga wakiyakataa maombi hayo.
Jambo hilo lilichukuliwa kama kuingia woga wa kufungwa. Ikumbukwe kwamba kocha wa Yanga hakuwahi kushinda mechi yeyote ya kimataifa, jambo linalotia shaka uwezo wake
Nina taarifa kwamba Arta Solar 7 ya Djibout iliwasilisha maombi ya kucheza mechi za kirafiki na Simba, Yanga na Azam. Club za Simba na Azam zilifurahishwa na maombi hayo na kuyakubali kama sehemu ya kujiandaa na mechi za kimataifa. Huku wenzao wa Yanga wakiyakataa maombi hayo.
Jambo hilo lilichukuliwa kama kuingia woga wa kufungwa. Ikumbukwe kwamba kocha wa Yanga hakuwahi kushinda mechi yeyote ya kimataifa, jambo linalotia shaka uwezo wake