Yanga yaingia woga; yakataa kucheza friendly na Arta Solar 7 ya Djibout

Iyo timu sawasawa na Kotoko ni timu za Kariba yenu, uwezi kucheza mechi na timu isiyo na ushindani alafu ukajitathmini unafanya hivyo Kwa faida ya nani?
Ni Bora upate timu ya ligi kuu iliyo changamka na ikakupa mechi kuliko ao wa Djibut.
Ni kweli Pan Africa wale tuliocheza nao kule Avic town ni washindani kuliko Kotoko[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapo wanachangishana hela ya mganga kwa ajili ya mechi ijayo ya simba.
 
Iyo timu sawasawa na Kotoko ni timu za Kariba yenu, uwezi kucheza mechi na timu isiyo na ushindani alafu ukajitathmini unafanya hivyo Kwa faida ya nani?
Ni Bora upate timu ya ligi kuu iliyo changamka na ikakupa mechi kuliko ao wa Djibut.
Ushatoa hela ya mganga kwa ajili ya mechi ijayo ya simba wenzako wanaweka kwenye sahani mzee mpili ndo muweka hazina
 
Sisi tunamtaka mke wetu Manyonyo FC
 
Arta solar wewe umeona pana timu pale?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
mhh utani bhana kwahyo wameogopa kipigo kwan si wataemda kimataifa tutaona kama watapigwa au watakaza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…