Yanga yaingiza (5) kikosi Bora Cha wiki CAF

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
π—žπ—œπ—žπ—’π—¦π—œ 𝗕𝗒π—₯𝗔 (𝗖𝗔𝗙)

Kikosi bora cha wiki cha ligi ya mabingwa Africa na performance yao (Ratings).

β—Ž 8.2 - Memmich (GK) β€Ίβ€Ί Petro Atl [emoji1029]
β—Ž 8.2 - Yao Kouassi β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241]
β—Ž 7.9 - Coulibaly β€Ίβ€Ί ASEC [emoji1081]
β—Ž 8.1 - Mwamnyeto β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241]
β—‰ 8.8 - Pacome Zouzoua β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241]
β—Ž 8.0 - Keita β€Ίβ€Ί TP Mazembe [emoji1078]
β—Ž 8.0 - Mudathir β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241]
β—Ž 8.3 - Aka β€Ίβ€Ί ASEC Mimosas [emoji1081]
β—Ž 8.4 - Willy Onana β€Ίβ€Ί Simba [emoji1241]
β—Ž 8.2 - Aziz Ki β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241]
β—Ž 8.2 - Fofana β€Ίβ€Ί TP Mazembe [emoji1078]

[emoji408] Pacome amepewa Rating ya (8.8) , performance ya juu kuliko mchezaji yeyote wiki hii kwenye ligi ya mabingwa Africa [emoji114]

Hawa Yanga ni Moto
 
Basi wachezaji wali underperform sana wiki Hio, Aziz k zaidi ya ile assist alikua anaruka ruka tu
 
Aziz mechi ya Ahly aliwekewa ukuta wa watu wanne wa kumlinda muda wote wa mchezo ndio maana hakufurukuta sana.

Hizi mechi zote za Medeama amekiwasha, hasa hii ya mwisho.

Unasema assist wakati alikosa goli kama sio mpira kwenda nje kidogo ya lango?
Mwanzoni kabisa mwa mchezo pale kwa Mkapa Vs Medeama.
 
π—žπ—œπ—žπ—’π—¦π—œ 𝗕𝗒π—₯𝗔 (𝗖𝗔𝗙)

Kikosi bora cha wiki cha ligi ya mabingwa Africa na performance yao (Ratings).

β—Ž 8.2 - Memmich (GK) β€Ίβ€Ί Petro Atl [emoji1029]
β—Ž 8.2 - Yao Kouassi β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241]
β—Ž 7.9 - Coulibaly β€Ίβ€Ί ASEC [emoji1081]
β—Ž 8.1 - Mwamnyeto β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241]
β—‰ 8.8 - Pacome Zouzoua β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241]
β—Ž 8.0 - Keita β€Ίβ€Ί TP Mazembe [emoji1078]
β—Ž 8.0 - Mudathir β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241]
β—Ž 8.3 - Aka β€Ίβ€Ί ASEC Mimosas [emoji1081]
β—Ž 8.4 - Willy Onana β€Ίβ€Ί Simba [emoji1241]
β—Ž 8.2 - Aziz Ki β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241]
β—Ž 8.2 - Fofana β€Ίβ€Ί TP Mazembe [emoji1078]

[emoji408] Pacome amepewa Rating ya (8.8) , performance ya juu kuliko mchezaji yeyote wiki hii kwenye ligi ya mabingwa Africa [emoji114]

Hawa Yanga ni Moto
huyo pacome ni....nashindwa upata neno la kumuelezea kwakweli
 
Mwamnyeto huyu huyu aliyekuwa anaokoa hatari kulia anaipeleka kushoto.

Yule jamaa atafutiwe mbadala mapema Sana.
 
Back
Top Bottom