Yanga yaingiza wa 3 kikosi Bora Cha wiki CAF Simba 0

Ww ni lijingaaa...hivi huwa unawaza kwa kutumia nini? Unashangaa nini sasa...
Halafu mpaka muilinganishe Simba ndo mnapata kipimo sahihi au?
 
Kweli nimeamini simba ni wachonga barabara, haya mambo simba kashayafanya sana, na unaweza kuta kuna mwana yanga kazimia kisa hii taarifa maana kuingia robo tu wakapelekwa hadi ICU
 
Sijui huwa huna shughuriiiii! Kutwa kucha, unaiwaza Simba tu!
 
Ww ni lijingaaa...hivi huwa unawaza kwa kutumia nini? Unashangaa nini sasa...
Halafu mpaka muilinganishe Simba ndo mnapata kipimo sahihi au?
Pole mkuu.....hizo hasira zipeleke Kwa mudi .[emoji23][emoji23]alete quality players

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…