Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Jana klabu kubwa kuliko zote Afrika mashariki, Yanga ilikabidhiwa kombe la ubingwa wa kuifunga timu ya Simba SC huku ikiwa imebakiza mechi moja I tu akayopigwa July 18 2020.
Haya ni mafanikio makubwa kwa timu ya wananchi ndani ya muda mfupi kwani ndani ya mwezi mmoja wameweza kumsajili mchezaji wa bei kubwa Djuma shabani, wameweza kununua basi aina ya TATA lenye thamani ya bilion moja na wameingia mkataba na Azam Tv kwa miaka 10.
Hiki kinakuwa ni kikombe cha pili Yanga kukipata ndani ya msimu huu kwani awali walichukua kombe lenye hadhi ya juu zaidi barani Afrika, kombe la Mapinduzi.