Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga.
Soma, Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC
Yanga pia imemuulizia Laurian Makame wa Fountain Gate kama itamkosa Lameck Lawi ambae ndio chaguo lao la kwanza.