Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Dec 11, 2024 #1 Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga. Soma, Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC Yanga pia imemuulizia Laurian Makame wa Fountain Gate kama itamkosa Lameck Lawi ambae ndio chaguo lao la kwanza.
Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga. Soma, Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC Yanga pia imemuulizia Laurian Makame wa Fountain Gate kama itamkosa Lameck Lawi ambae ndio chaguo lao la kwanza.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Dec 11, 2024 #2 Sawa.
holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 1,859 Reaction score 2,986 Dec 11, 2024 #4 Makame wa FOUNTAIN GATE ni mzuri mala mia kuliko huyo lawi.